b4theg
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 359
- 1,221
naomba nifahamishwe ni vitu gani haswa vinavyo hitajika ili kua dereva wa gari za it, gari ambazo zina tolewa bandarini ns kupelekwa nchi za jirani ambazo hazina bandari( in transit) ..
ikiwa tayari nna leseni halali ya undeshaji na uzoefu wa magari madogo kwa miaka minne bila ajali.
ikiwa tayari nna leseni halali ya undeshaji na uzoefu wa magari madogo kwa miaka minne bila ajali.