Natafuta kazi ya udeleva

Mhurumieni jamani ulimi hauna mfupa

Humu kuna Watu kabla ya kufanya jambo lolote huwa Kwanza tunasoma sentensi nukta hadi nukta ili tujiridhishe nayo hivyo kama umevapa / umekosea hatuwezi kukuacha upite tu hivi hivi lazima ' tutakuchekecha ' kidogo ili siku nyingine ukija uwe makini.
 
Abacho ni kulazimisha "L" ikae kwenye nafasi ya "R"

' Abacho ' ni Kiswahili au Kimalawi Mkuu? Yaani unamcheka mwenzako Kuanguka mtaroni Wewe sasa ndiyo umetumbukia kabisa katika Choo kilichojaa ' Nnya ' mpaka pomoni / juu.
 
' Abacho ' ni Kiswahili au Kimalawi Mkuu? Yaani unamcheka mwenzako Kuanguka mtaroni Wewe sasa ndiyo umetumbukia kabisa katika Choo kilichojaa ' Nnya ' mpaka pomoni / juu.
Mkuu....[emoji2] [emoji2]
Naona leo shuzi limepata mjambaji... tehteehhh....[emoji13] [emoji13]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…