shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
Andika kiswaili, hizo za Malkia hauweziWhy not?
Andika kiswaili, hizo za Malkia hauweziWhy not?
Pengine lengo lake sio kazi ni mke wa boss.UTANASHATI nao ni sifa ya kuombea kazi ? ? naomba kujua sorry
Mkataba unamaanisha nini si kila kazi lazima usainishwe mkataba wa kazi au neno mkataba umelitumia kama lugha ya kijiweni inamaana kitu kingine tofauti na huuu naoujua mimi?Iyo gari unayo endesha ww mkataba au
kwenye uber mkataba unamaanisha hivi:: hesabu kwa wiki laki 2 ila baada ya miaka 2 gari lako....yaani dereva akimaliza mda wa mkataba miaka 2 anakabithiwa gari kisheria, service kwa dereva....na maisha inamaana hivi:: hesabu 150000 kwa wiki service kwa boss ila mda wowote boss anaweza chukuwa gari lake hata ufanye miaka 4Mkataba unamaanisha nini si kila kazi lazima usainishwe mkataba wa kazi au neno mkataba umelitumia kama lugha ya kijiweni inamaana kitu kingine tofauti na huuu naoujua mimi?
Kwaiyo iko kama biashara ya bodaboda au bajajikwenye uber mkataba unamaanisha hivi:: hesabu kwa wiki laki 2 ila baada ya miaka 2 gari lako....yaani dereva akimaliza mda wa mkataba miaka 2 anakabithiwa gari kisheria, service kwa dereva....na maisha inamaana hivi:: hesabu 150000 kwa wiki service kwa boss ila mda wowote boss anaweza chukuwa gari lake hata ufanye miaka 4
Ndio hivyoKwaiyo iko kama biashara ya bodaboda au bajaji
200000÷7= inamaana unaniletea kwa kila siku 28571.428 ×30= 857142.9 ×12(miezi) =10285714 × 2(years)= 20571428.6 alaf gari umenunua M 12 kumbe kuna faida eeeeeeehhhkwenye uber mkataba unamaanisha hivi:: hesabu kwa wiki laki 2 ila baada ya miaka 2 gari lako....yaani dereva akimaliza mda wa mkataba miaka 2 anakabithiwa gari kisheria, service kwa dereva....na maisha inamaana hivi:: hesabu 150000 kwa wiki service kwa boss ila mda wowote boss anaweza chukuwa gari lake hata ufanye miaka 4
Nunua tufanye kazi boss200000÷7= inamaana unaniletea kwa kila siku 28571.428 ×30= 857142.9 ×12(miezi) =10285714 × 2(years)= 20571428.6 alaf gari umenunua M 12 kumbe kuna faida eeeeeeehhh
Yani niwekeze 12m kwa kupata 20000 kwa siku!!!!,wakati muuza matikiti kwenye mkokoteni mtaji 60000 anakunja 25000 daily.What the f**** Business.200000÷7= inamaana unaniletea kwa kila siku 28571.428 ×30= 857142.9 ×12(miezi) =10285714 × 2(years)= 20571428.6 alaf gari umenunua M 12 kumbe kuna faida eeeeeeehhh
Sio mfanya biashara weweYani niwekeze 12m kwa kupata 20000 kwa siku!!!!,wakati muuza matikiti kwenye mkokoteni mtaji 60000 anakunja 25000 daily.What the f**** Business.
Bora niifanye mwenyeweNunua tufanye kazi boss
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si mpaka uweze.Bora niifanye mwenyewe
Nimeona mkuu kuna kama milioni20 na usheeee hapofaida ipo sana tu....
Kwani nyinyi muweze mnanini na mimi nishindwe ni nanini au nyinyi binadamu mimi mzuka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si mpaka uweze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapana bana,, nakutania, weka nia na uweke bidii, utawezaKwani nyinyi muweze mnanini na mimi nishindwe ni nanini au nyinyi binadamu mimi mzuka?
Nia yako nikupata gari tu la bure baada ya mkataba kutoka kwangu huna lolote wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana si waamini nyinyi mtaenda kutambia kijiweni kwa madem hamtaleta fedha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hapana bana,, nakutania, weka nia na uweke bidii, utaweza
Heee hapo gari litakuwa sio la bure tena! Maana nitakuwa nimetumika vya kutosha. Kushinda barabarani 24/7 miaka 2 sio issue ya kitoto!Nia yako nikupata gari tu la bure baada ya mkataba kutoka kwangu huna lolote wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana si waamini nyinyi mtaenda kutambia kijiweni kwa madem hamtaleta fedha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu vipi hii yako bado?Heee hapo gari litakuwa sio la bure tena! Maana nitakuwa nimetumika vya kutosha. Kushinda barabarani 24/7 miaka 2 sio issue ya kitoto!