Natafuta kazi ya ualimu

Toga

JF-Expert Member
Oct 21, 2015
521
459
Habari za mwaka mpya wadau wote humu jukwaani Mimi ni mwalimu Nina diploma ya ualimu secondary namtafuta kazi ya ualimu sehemu yoyote ile na mkoa wowote ile hata English medium primary nipo tayari kufundisha
mtaniwia radhi kuleta habari hii
huku mods naomba msiufe huu Uzi
namba zangu za simuni
0759377586 na 0759490538
email:Lazaro nuru@g mail.com
masomo ya kufundisha ni geography na English language.
 
Wakati wa uchaguzi 2015 we ulikuwa CCM au UKAWA?? Hi ndo interview yako

tuache maswala ya kiitikadi hapa jamani au soma post zangu humu has a jukwaaa la sasa ndio itakua itikadi yangu ila haryana msingi wowote ile sisi watoto wa masikini ndio tunao isoma namba maana tulikimbilia ualimu kwa sababu wazazi hawana uwezo mungu ndio anae hua.
 
Ok kijana ushafeli interview yangu..ilikuwa rahisi mnoo..cku nyingine jibu swali kiukweli toka moyoni...wait wadau wengine wanaweza kukuunganisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom