Omari Issa
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 168
- 45
Uko wap?Habari wakuu JF?
Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana kukejeli, kukebehi, kudharau ama kuponda kwa namna yoyote.
…………………………………………………………
Natafuta kazi ya kufundisha kwa yoyote mwenye nafasi ya kuajiri iwe shirika la kielimu ama shule. Nimebobea katika ufundishaji (ualimu) na IT/ICT hivyo ninao uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika taasisi yako.
Kwa ufupi nina vigezo na sifa vya kuajirika na uzoefu katka maeneo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayeguswa na hili.
Unafundisha masomo gani na umesoma chuo gani na course IPI???Habari wakuu JF?
Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana kukejeli, kukebehi, kudharau ama kuponda kwa namna yoyote.
…………………………………………………………
Natafuta kazi ya kufundisha kwa yoyote mwenye nafasi ya kuajiri iwe shirika la kielimu ama shule. Nimebobea katika ufundishaji (ualimu) na IT/ICT hivyo ninao uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika taasisi yako.
Kwa ufupi nina vigezo na sifa vya kuajirika na uzoefu katka maeneo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayeguswa na hili.
Uko wap?
jibu hili swaliUnafundisha masomo gani na umesoma chuo gani na course IPI???
jibu hili swali
kwa hiyo username labda utafte kazi ya kumwaga zege, nayo cna uhakika kama utaiweza
WEWE MWIZI HUNA TAALUMA YA UALIMU
Haya poa mkuu nilidhani unafundisha physics,chemistry biology or mathmaswali kama haya ili kulinda taaluma huwa najibu kwa kuPM na nimeshamPM
but any way
nafundsha Geography na ICT
Nilidhani physics mkuumaswali kama haya ili kulinda taaluma huwa najibu kwa kuPM na nimeshamPM
but any way
nafundsha Geography na ICT
Jaribu kucheki private schoolHabari wakuu JF?
Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana kukejeli, kukebehi, kudharau ama kuponda kwa namna yoyote.
…………………………………………………………
Natafuta kazi ya kufundisha kwa yoyote mwenye nafasi ya kuajiri iwe shirika la kielimu ama shule. Nimebobea katika ufundishaji (ualimu) na IT/ICT hivyo ninao uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika taasisi yako.
Kwa ufupi nina vigezo na sifa vya kuajirika na uzoefu katka maeneo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayeguswa na hili.
Hahahaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kwa hiyo username labda utafte kazi ya kumwaga zege, nayo cna uhakika kama utaiweza
Ict kwa levo Ipi?maswali kama haya ili kulinda taaluma huwa najibu kwa kuPM na nimeshamPM
but any way
nafundsha Geography na ICT
[emoji15] yan unailindaje taaluma kwa kutotaja SPECIALIZATION? Hii mpya bosi!maswali kama haya ili kulinda taaluma huwa najibu kwa kuPM na nimeshamPM
but any way
nafundsha Geography na ICT