Omari Issa
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 168
- 45
Habari wakuu JF?
Bila shaka mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku katika ujenzi wa taifa. Natoa rai kwa watakaopitia uzi huu kuwa natafuta kazi kwa wenye nafasi za kazi. Si uungwana kukejeli, kukebehi, kudharau ama kuponda kwa namna yoyote.
…………………………………………………………
Natafuta kazi ya kufundisha kwa yoyote mwenye nafasi ya kuajiri iwe shirika la kielimu ama shule. Nimebobea katika ufundishaji (ualimu) na IT/ICT hivyo ninao uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika taasisi yako.
Kwa ufupi nina vigezo na sifa vya kuajirika na uzoefu katka maeneo tajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayeguswa na hili.

yan unailindaje taaluma kwa kutotaja SPECIALIZATION? Hii mpya bosi!