Big Thinking
Member
- Oct 1, 2021
- 14
- 16
Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie.
Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati
Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati