Natafuta kazi ya ualimu kwenye shule binafsi

Big Thinking

Member
Oct 1, 2021
14
16
Wakuu, naomba mnisaidie atakaesikia kazi ya ualimu kwenye shule za sekondari mwalimu anaitajika. Naomba anisaidie.

Nafundisha masomo ya biashara. Book keeping na commerce. Sana mikoa ya kaskazini. Moshi, Arusha na Babati
 
Kwa ulivochanganyikiwa hivi ,huko darasani utapaweza kweli ....
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom