Natafuta kazi ya Stationery au kuuza duka

imani12

Member
Apr 10, 2015
31
4
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nimemaliza elimu ya Secondary mwaka 2012. Mimi ni mchapa kazi na mtiifu sana.Ninatafuta mtu yeyote mwenye kuhitaji kijana wa kazi ya kuuza duka lolote la bidhaa za rejareja au jumla. Nimesomeamasomo ya biashara yaani Book-keeping na Commerce.

Pia nimesomea Computer na nina ujuzi mkubwa sana katika Software zifuatazo;
1-Microsoft word
2-Microsoft Excel
3-Microsoft PowerPoint
4-Microsoft Publisher
5-Microsoft Access
6-Internet Explorer
Kwa anayehitaji pia kijana wa Stationary nipo tayari.
NB: Kwa atakayeniajiri awepo Dar-Es-Salaam na kuhusu malipo tutaelewana kwani dhumuni langu kubwa ni kunielekeza na kunijuza maisha ya kujitegemea kwani nitaomba niwe nakaa kwa atakayeniajiri.Ninaamini kuwa watanzania wenzangu waliopo Dar kila atakayeweza kulisoma tangazo hili atanisaidia kumwambia na mwenzake.
Mawasiliano yangu ni:
0757191544 au 0655191544
Email: imani.mangowi@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom