Natafuta kazi ya stationary

Natafuta kazi ya stationary

upo mkoa gani? unaweza kufanya kazi nje ya mkoa uliopo??
 
Tupia picha yako please....ONYO : siyo ya vyeti vyako......Vigezo na masharti kuzingatiwa....
 
Kazi Ipo Msuguri.. Sharti awe anakaa maeneo hayo pia.. Mawasiliano 0715407508
 
Habari zenu wandugu, mimi ni mdada wa miaka 27, ninahitaji kazi ya steshenary, elimu yangu ni kidato cha nne pia nina ujuzi wa computer, sio lazima iwe steßhenary kazi yoyote yenye masilahi na iliyo halali nafanya
Unapatikana wapi? I mean kama ni Dar unaishi wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom