Lady Maira
Member
- Jan 11, 2018
- 19
- 5
Hi wapendwa, bado cjapata kazi, nimesomea computer baada ya kumaliza form 4, na Nina uzoefu wa kaz za stationary kwa miaka 3, yoyote mwenye uhitaji wa binti wa kazi hizo anisaidie, 0715 917427 nipo Dar
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640Hi wapendwa, bado cjapata kazi, nimesomea computer baada ya kumaliza form 4, na Nina uzoefu wa kaz za stationary kwa miaka 3, yoyote mwenye uhitaji wa binti wa kazi hizo anisaidie, 0715 917427 nipo Dar