Ulishatuma cv,passport kwa email niliokupa dada?
nicheki kwa hii number 0786855280Nipo Arusha natafuta kazi ya secretary au stationary kwa yeyote tuwasiliane
nicheki kwa hii number 0786855280[/QUOT sawa ila naomba uwe serious jamani
snjtanzania@gmail.commim n msichana aged 24 nimesomea secretary pia nina uzoefu wa stationary natafuta kazi kwa yyote tuwasiliane
Mhh hizi email hizi sina imani nazo...kuna mtu atapopolewa manyoya.
Habari zenu wapendwa natafuta kazi jaman nimesoma secretary ila pia naweza kaz yyte halali nipo arusha
Kama upo tayari nina Stationary pia nahusisha public writter ipo Kwa Mromboo kazi siku 6 kwa wiki nitakulipa laki 1 kwa mwezi.