Yaani na wewe unajidai unaijua jf kuliko wengine!?? Huwezi kuwa na I'd 5 na ukazitumia hapa jf. Zitaunganishwa zote na utabaki na moja. Ukiwa na I'd 5 uhakikishe na vifaa unavyotumia kuingia navyo ni vitano. Huwezi kutumia computer au simu moja kuingia na hizo I'd zako. Siku hizi kwenye hii app mpya hata I'd 2 tu zinaunganishwa km unatumia kifaa kilekile.Kuna watu humu nawajua wanaid 5 na zaidi
Nyingine huwa ni kutunza privacy endapo mtu anakujua humu
Wew sio kila ninachopost bas n mm labda nikwambie tupo mapacha mwezang kasomea nursing ....mm n journalism nimesomea, inamaan kam yeye cm yk gain uwezo n inasumbua nisimsaidie au. .ckia km ukihitj kumsaidia MTU ww msaidie n km hutk ACH kwan sikila MTU an roho km yko, msieweeeeeApa umenena, ila kama ni kweli
Kusoma hujui hata majina pia ujui kwakwl ni shida, half nimegundua weng wao humu wapo kwaajili y kumtengenezea MTU CV mbaya....wengne watu wazima humu nahis hata mm ni mwanao lkn wanaakili km ya mtoto yn wanachefua htr, unajitahid usijib lkn unkuta unajibu tuAsante mkuu kama umenielewa hapo, hawa watu ifike hatua wakose wa kumtapeli
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Anaefny hivi ukute n babu kabisa....chefu, unatak nifungua account tofauttofaut ndo nitume auNyingine hiyoView attachment 745016
Kamgonge kwaza mama yko mzaz ndipo uje kwangu mbwa wewMond hawezi gonga mchafu kama wewe, njoo kwangu tu nikugonge aseee
Umri n namba tu mbwa wew...kwan shida umri au, kwan wewe hap hilo jina unalotumia n sahihi au.....ila sikulaumu nahisi uzee unakujia vibaya babu cjui bibiHuyo mwizi namfahamu halafu sio demu
Ckwepi ila naon ujinga....unajua ukijibizana n mjing km wew basi nmm nitkua mjingaAkijibu unitag,naona anajibu zingine tu hii anaikwepa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilimtapeli bwana yako sioWewe utakua tapeli kwa vyovyote vile...
Wewe kweli mwez mchanga....sasa una kipi chakukutapel MTU kama mavi tuKijana matata Wewe ni matata kwelikweli!! Safi sana kwa kuumbua hawa matapeli
Achana nao mjinga huyo aliyokosa kazi n kufatilia mambo y MTU,Hii inamfanyaje kuwa tapeli????
Mana sioni kosa apo
Hivi unalipwa sh ngp kwa mweziNgoja nikuwekee ushahidi mwingine mkuu ili ujue kweli huyu ni mtu wa aina gani
MTU anaweza akawa n majina zaidi ya matatu n ruksa we mzee vipi, au ukichaa unakunyemelea wew,Anatumia majina mawili tofauti
Rahma Mohamed anatafuta kazi
Husna Mohamedi anatafuta mme
NB:wote wanatumia namba moja ya simu
Ningeona vizr ungekuja kuthibitishia watu km MTU flani Jmn n tapeli nilishatapeliw tareh flani sehm flni....sio kuongea uwong wew, bora ungeuliz sio kumchfulia MTU nyani mweusi wewAnatumia majina mawili tofauti
Rahma Mohamed anatafuta kazi
Husna Mohamedi anatafuta mme
NB:wote wanatumia namba moja ya simu
Ushaid gn uliouwek wew nyani mweusi wew, yn hadi mship umekutok kW kuongea uwong....yn jitu lenyew ckujui wal unijui lkn unkuja kuwaaminish watu uwongoMkuu pia kuna ushahidi kede kede nimeweka hapa ili watu wamtambue huyu ni nani
we kibokoHUKU UNAMJIBU NANI MBONA KAMA BADALA YA KUJIBU PM UNAJIBU HAPA HAA HA HA
Sibishani n MTU ambae ajielew maan nami nitaoneka chizi, kama vipi kausha bcoz ckujui unijui zaidi ya kuniona umu....mbwa wewWewe ndio nyani mweusi unahangaika na utapeli humpati mtu boya wewe! Nimeshaweka ushahidi tayari so watu kazi kwao tu
Labda nikwmbie kitu wat ambao wanajielew n kujitambua hunisaidia ila watu wenye kuombea wezao mabaya kama wewe mwenye roho ya kichawi huchafua watu tu sawWewe ndio nyani mweusi unahangaika na utapeli humpati mtu boya wewe! Nimeshaweka ushahidi tayari so watu kazi kwao tu
Achana nae huyu yupo kwaajili ya kuharibia watuSioni kosa apo
Maana mwenyewe nina ID mbili lakin moja nimeiabandon
Umri unaenda kwa past time[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani Rahma umri wako we unapungua au?
hapa ulikua na miaka 24 mwaka jana leo una miaka 22 how comes what happened ? Umeenda past time?