Natafuta Kazi ya Networking/IP Engineer

.....
GNS3 na hii eve-ng hazina tofauti sn....the latest version inazohizo requirements zote...the best thing nikujua jinsi yakuzitumia kwakua hata window's sv unaweza tumia kwenye gns3 the same to eve-ng....but kijana muomba kazi uckatetamaa
 
Asante
 
Du kaka bado hujapata sehemu,tokea kipindi kile.
 
Omba kazi za kujitolea kwenye Telecom company yeyote ile
 
mkuu,kama bado unahitaji baadhi ya device kufanyia practical,ni PM just for free
 
Omba kazi za kujitolea kwenye Telecom company yeyote ile
Nimejaribu sana kuomba kujitolea karibia kampuni zote kubwa za mawasiliano, sijakubaliwa na nimejaribu baadhi ya kampuni hizi ndogo za network zote nimekataliwa, nikajaribu na humu JF napo Kuna watu warijaribu kunisaidia kunitumia CV , kwenye kampuni za network zote lkn sikupata majibu, utumishi napo nimetuma lkn sikubahatika kuitwa nikawafuata wakaniambia tatizo na apply nafasi za watu wa computer science, software, IT . Sasa hivi nipo Kibaha kwa kaka yangu napiga chalk kwenye tuition.
 
mkuu,kama bado unahitaji baadhi ya device kufanyia practical,ni PM just for free
Asante kwa offer kaka, ngojea nizikusanye nitakutafuta PM kwani huku Kibaha natafuta hela ya kujikimu.
 
Nipigie +255658276181/+255692470547
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…