Natafuta kazi ya nesi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya nesi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Zamaulid, May 31, 2011.

 1. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  hello wanajamvi!
  nina ndugu yangu amemaliza kozi ya nursing mwaka mmoja,
  kwa sasa yuko dar anajaribu kutafuta pa kujishikiza!please mwenye
  kujua wapi anaweza kupata kazi ya hiyo qualification yake msaada wako unahitajika!
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nenda jukwaa la Nafasi za kazi kuna kazi za mambo ya afya zimemwagika....
   
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,332
  Likes Received: 6,674
  Trophy Points: 280
  ahsante mkuu!ngoje nicheki kotekote!
   
 4. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kuna kazi kibao zimetangazwa na Benjamini Mkapa Aids Foundation ni za kumwaga. Sakua humu humu jamvini utazipata
   
 5. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nje ya dar kazi za kumwaga tuu!halafu sina uhakika kama huyo ndugu yako ni nurse au asst. nurse au medical attendant,nurse hakosi kazi bana usizuge watu hapa.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,274
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  kuuza duka la dawa hataki? lipoa katikati ya jiji
   
 7. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #7
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mkoani kazi zipo ila dar inaweza sumbua kidogo
   
Loading...