natafuta kazi ya maabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kazi ya maabara

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mab-v, Jan 13, 2012.

 1. m

  mab-v Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habali wana jf natafuta kazi ya maabara (medical laboratory) nina uzoefu wa kutosha, nipo dar nitanguliza shukulani. my phon, number 0652-011020. mbalikiwe wana jf.
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Is uzoefu wa kutosha qualification na inatolewa na chuo gani? Sema sifa zako za ujuzi wako wa kazi watu wakusaidie,acha kuficha ficha,ndio nyie nyie.
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mkuu kwani zile zilizotangazwa na wizara ya afya uliomba????
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nenda Imtu,kuna mtu alipima nahisi si proffesional.
   
 5. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unataka Dsm peke yake au popote Tanzania?
   
Loading...