Natafuta kazi ya laboratory attendant

Natafuta kazi ya laboratory attendant

Joined
Jul 14, 2016
Posts
14
Reaction score
6
Salaam.
Mimi ni kijana niliyehitimu chuo cha ufundi sanifu maabara St Peter Iringa kwa ngazi ya cheti kwasasa natafuta kazi kama Kuna nafasi waweza nipa taarifa asante.
 
Back
Top Bottom