YAHERI MUNGU
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 318
- 215
Habari za asubuhi wanaJF?
Sawa mkuu na hilo ndilo ninalolishughulikia kwa sasa. Nashukuru kwa ushauri wako.Katika maelezo yako sijaona ukisema kama umepita Law school,kama bado nenda kwanza uwe wakili kamili,ukiwa mjanja uwakili unalipa sana tu.
Poa mkuu,pambana.Sawa mkuu na hilo ndilo ninalolishughulikia kwa sasa. Nashukuru kwa ushauri wako.
UKo mkoa gani mkuu ??Habari za asubuhi wanaJF?
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree ya sheria. Nimewahi kufanya kazi katika ofisi moja ya mawakili na kupata ujuzi wa mambo ya kisheria na baadaye niliendelea na kozi fupi katika chuo cha bandari katika masuala ya uondoaji na usafirishaji wa mizigo bandarini na kwa sasa bado sijajiunga na ofisi yoyote. Hivyo, kwa yeyote mwenye ofisi au kuhitaji huduma yangu, Tafadhali naomba tuwaliane kwenye namba yangu ya simu ya mkononi.
Asanteni.
Mimi niko hapa Mkoa wa Dar es SalaamUKo mkoa gani mkuu ??
Aisee ungekuwa mtwara chuo kikuu huria open university ungepata wanafunzi wengi mno na ungepata pesa yako nzuri sana kila leo watu wanasaka mateacher wa lawMimi niko hapa Mkoa wa Dar es Salaam
Ok. Hapo ni tatizo kubwa. Ni kweli huko mikoani hakuna walimu watu wa kufundisha masomo ya sheria. Ngoja niwaombee, mtapata tu.Aisee ungekuwa mtwara chuo kikuu huria open university ungepata wanafunzi wengi mno na ungepata pesa yako nzuri sana kila leo watu wanasaka mateacher wa law