Natafuta kazi ya kuwa legal consultant/ officer

Katika maelezo yako sijaona ukisema kama umepita Law school,kama bado nenda kwanza uwe wakili kamili,ukiwa mjanja uwakili unalipa sana tu.
 
Habari za asubuhi wanaJF?

Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree ya sheria. Nimewahi kufanya kazi katika ofisi moja ya mawakili na kupata ujuzi wa mambo ya kisheria na baadaye niliendelea na kozi fupi katika chuo cha bandari katika masuala ya uondoaji na usafirishaji wa mizigo bandarini na kwa sasa bado sijajiunga na ofisi yoyote. Hivyo, kwa yeyote mwenye ofisi au kuhitaji huduma yangu, Tafadhali naomba tuwaliane kwenye namba yangu ya simu ya mkononi.

Asanteni.
UKo mkoa gani mkuu ??
 
Aisee ungekuwa mtwara chuo kikuu huria open university ungepata wanafunzi wengi mno na ungepata pesa yako nzuri sana kila leo watu wanasaka mateacher wa law
Ok. Hapo ni tatizo kubwa. Ni kweli huko mikoani hakuna walimu watu wa kufundisha masomo ya sheria. Ngoja niwaombee, mtapata tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom