Natafuta kazi ya kuwa kinyozi

Mr way 1

New Member
Oct 24, 2019
3
3
Ni mzoefu na ni hodari kwa kazi hii.

Nina muda mrefu nayo na nimeweza kuwa na wateja wengi sana. Napatikana Kinondoni kwa wakazi wa Mkwajuni.

Garden Mwananyamala na viunga vyake wanafahamu kazi ya mikono yangu bila shaka Mr Way. Kwa yeyote mwenye kunihitaji tafadhali anicheki inbox tuweze kuwasiliana muda wowote ule.

Ahsanteni wapendwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiria kuanzisha hii biashara unaweza kunipa roug budget

Sent using Damu ya Yesu
 
Yer bajet yake ni simpo ninaweza sema kwamba ambavyo utahitaji na ndivyo bajeti itakavyokuwa kiongozi kwa sababu saloon ni namna ww binafsi utaamua iweje so ni simpo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom