Mkuu kwa majibu yako haya kuna mtu atakupa kazi kweli?Umepoteza muda ya kuandika hii text kama hujaelewa kama kimya
Mkuu kwa majibu yako haya kuna mtu atakupa kazi kweli?Umepoteza muda ya kuandika hii text kama hujaelewa kama kimya
Hahahah afu madogo wanalia ajira ngumu. Huyu akutane na mteja kichwa ngumu, au wale wakaguzi wa TFDA wenye nyodo, atarusha ngumi na duka litafungwa fasta...Kama unashindwa kuvumilia huu upuuzi kidogo humu ndani tena mtu mwenyewe humuoni,,
Itakuwaje mtu aje dukan awe msumbufu kidogo labda kwa uelewa wake si utamfukuza kabisa wewe sasa kutakuwa na biashara kweli hapo?
Hahahahaha FUNGA ×Hahahah afu madogo wanalia ajira ngumu. Huyu akutane na mteja kichwa ngumu, au wale wakaguzi wa TFDA wenye nyodo, atarusha ngumi na duka litafungwa fasta...
Nimeuliza hujajibu ww ni jinsia gani?Mimi nina wered ishu ya hii mitandao wengi wanapenda midajara na majibizano na wengine ni jeuri sana.
Suala la kaz lina ethics zake.
Mkuu tungo yako tata, nafasi ya kuuza duka la dawa? Mh cjui boss gani atakuamini, maana akiondoka tu ushauza duka lake [emoji2][emoji2][emoji2]Habari, naomba nafasi ya kuuza duka la dawa maeneo ya Dar es salaam. Nina uzoefu na pia nina vyeti ambavyo vinavyotambulika na baraza la famasi.
Contact number.. 0652602624
Oooh! mimi nilitaka wa kike wenyewe wanaita cute [emoji125][emoji125][emoji125]Mwanaume
watu Wana stress jamani,maisha yenyewe haya.Na hilo duka sijui ataliuza kwa jumla au rejareja. Kwa majibu yake huyu,atakayempa kazi haitachukua muda atajua kosa alilolifanya...
Jamaa anachekesha sanaMkuu tungo yako tata, nafasi ya kuuza duka la dawa? Mh cjui boss gani atakuamini, maana akiondoka tu ushauza duka lake [emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume
Siamini... We umeamini mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kumbe wew ni mwanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hebu jaribu kuomba hii kazi anatafutwa mtu mwenye fani kama yako.Habari, naomba nafasi ya kuuza duka la dawa maeneo ya Dar es salaam. Nina uzoefu na pia nina vyeti ambavyo vinavyotambulika na baraza la famasi.
Contact number: 0652602624