Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa

Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa

Abuhasani

Member
Joined
Feb 5, 2021
Posts
15
Reaction score
6
Habari, naomba nafasi ya kuuza duka la dawa maeneo ya Dar es salaam. Nina uzoefu na pia nina vyeti ambavyo vinavyotambulika na baraza la famasi.

Contact number: 0652602624
 
Jinsia yako tafadhari mkuu,, samahani lakini!!!!! [emoji120]
 
Habari, naomba nafasi ya kuuza duka la dawa maeneo ya Dar es salaam. Nina uzoefu na pia nina vyeti ambavyo vinavyotambulika na baraza la famasi.
Contact number.. 0652602624
Sasa kuuza hilo duka.... ni kwamba unamaanisha mwenye duka halihitaji tena mpaka aliuze? Sidhani kama kuna wateja wengi wanahitaji kununua duka la dawa...

Ningekushauri labda utafute kazi ya kuuza dawa kwenye duka la madawa... ingekuwa rahisi sana kupata kazi
 
Umepoteza muda ya kuandika hii text kama hujaelewa kama kimya
 
Sasa kuuza hilo duka.... ni kwamba unamaanisha mwenye duka halihitaji tena mpaka aliuze? Sidhani kama kuna wateja wengi wanahitaji kununua duka la dawa...

Ningekushauri labda utafute kazi ya kuuza dawa kwenye duka la madawa... ingekuwa rahisi sana kupata kazi
Punguza bangi
 
Oooh! kumbe haji kuuza dawa kwenye duka bali anatafuta kazi ya kuliuza duka lenyewe (kuuza duka) [emoji44][emoji44][emoji44]
 
Kila kitu biashara hata jeneza lako na sanda,,, kama unahitaji nikupe connection
 
Asa umenielimisha nn mm we ushajua nn nimeanisha afu unataka mjadala ahhaa wabongo mbona mpo hivyo [emoji706][emoji706]
 
Kama unashindwa kuvumilia huu upuuzi kidogo humu ndani tena mtu mwenyewe humuoni,,

Itakuwaje mtu aje dukan awe msumbufu kidogo labda kwa uelewa wake si utamfukuza kabisa wewe sasa kutakuwa na biashara kweli hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom