Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa

Natafuta kazi ya kuuza duka la dawa

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
14,237
Reaction score
32,070
habari wakuu, nimesoma medical attendant pia nasoma pharmacy mwaka wa pili..nipo mkoani njombe, uzoefu ninao wa kutosha. kama nitaondoka basi nitahakikisha namuunganisha mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom