Natafuta Kazi ya kujitolea

Natafuta Kazi ya kujitolea

Joined
Feb 20, 2026
Posts
8
Reaction score
6
Habarini ndugu zangu, mm n kijana wa miaka 23 nakaa dar es salaam mabibo, nina leseni ya udereva class D natafuta sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi na conntions kama ikiwezekana,, may be una private car au vyovyote vile sihitaji malipo yoyote kwa sasa focus yangu n kupata sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi katk kuendesha gari.
Kwa atakae wiwa kunishika mkono mawasiliano yangu ni 0687347334.
Whatsap na normal call
 
Kila la kheri kijana..
Ukikosa huku tafuta kampuni za wale jamaa wanaoendesha kirikuu Jenga nao urafiki utapata uzoefi zaidi kwa gari manual
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom