natafuta kazi ya kujitolea arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta kazi ya kujitolea arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kiboko Yenu, Jun 25, 2012.

 1. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamani mimi ni mwanafunzi wa udom nataraji kumaliza mitihani yangu wiki hii naomba kwa yoyote atakayeweza kunisaidia kupata kazi ya kujitolea mwezi wa 7 katikati hadi wa kumi anisaidie.ili niweze kupata uzoefu hasa kwenye maswala ya utawala,itifaki,na na organizations naweza kuzungumza kiingereza kiswahili na kifaransa
   
Loading...