Natafuta kazi ya kujishikiza na ya kujitolea, nina Diploma ya Account

Bizzyboy

Member
Nov 21, 2018
71
57
Habari wana JF I hope mpo poa,

Mimi mi muhitimu wa Diploma ya Account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na Bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza, hata kujitolea ili mladi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo, vyeti tayari ninavyo.

Asanteni
 
Kujishikiza tu ....kwanini?!Ni kubana nafasi za wanaotaka kufanya kazi kabisa.
 
Back
Top Bottom