Nitashukuru pia kwa hii.Natoka nje ya hitaji lako la kazi ya kufundisha.
Unaweza pia kuapply kazi za community development hasa kwenye NGOs na International Organisations.
Hata kama ni internship/volunteering huwa wanatoa allowance lakini pia utapata uzoefu, utajenga CV na kupata good referees.
Mkuu tupeane deal, maisha magumu mtaani bila kazi. Kama vipi naomba connection mkuu .Njoo dar,connection nyingi zipo kuliko huko porini ulipo
Wakuu habari za jioni.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu 2015.
Nimesoma Bachelor of Arts with Education na masomo ya kufundishia ni History na Geography.
Nimeamua kuja kwenu ili kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipatia au kuniambia sehemu ninayoweza kupata nafasi ya kufundisha nitashukuru sana.
Iwe shule za English Medium au Sekondari nitafundisha.
Wapo watakaoniambia nizungukie shule mbalimbali ila nimeshafanya hivo ila bado sijapata nafasi hivo nimeonelea si vibaya kujaribu na huku pia.
Pia nikipata sehemu nikajitolea ili kupata uzoefu itakuwa vizuri pia.
Ninaishi Arusha.
Ahsanteni.
KilimanjaroOkey
Upo mkoa gani?
Wewe siyo biashara labda ungekuwa SAYANSItafta pesa fungua chekechea inalipa sana
Imenigusa sana mkuu, ubarikiwe.Kuna shule moja inaitwa twaybat,ipo kata ya kimanzichana,wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani,kama upo na uhitaji,tuma meseji au ni pm namba yako nikuulizie kesho then ntakupa majibu kupitia hiyo namba,wakikupa kazi,mimi ntakupa room for six month free,mengine utajitegemea,
nasubiri pm yako dada
Shule gani mie PGDE masomo English language na geography nipo mufindiUpo tayari kufanya kazi njombe?shule ya sekondari
Ungekuwa unaishi dar,ningekusaidia upate kazi sehemu moja hivi safiiiiiWakuu habari za jioni.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu 2015.
Nimesoma Bachelor of Arts with Education na masomo ya kufundishia ni History na Geography.
Nimeamua kuja kwenu ili kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipatia au kuniambia sehemu ninayoweza kupata nafasi ya kufundisha nitashukuru sana.
Iwe shule za English Medium au Sekondari nitafundisha.
Wapo watakaoniambia nizungukie shule mbalimbali ila nimeshafanya hivo ila bado sijapata nafasi hivo nimeonelea si vibaya kujaribu na huku pia.
Pia nikipata sehemu nikajitolea ili kupata uzoefu itakuwa vizuri pia.
Ninaishi Arusha.
Ahsanteni.
Umepata?kama bado nicheki 0715140001Wakuu bado sijafanikiwa.
Mwenye kuweza kunisaidia nitashukuru.