feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,187
Wakuu habari za jioni.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu 2015.
Nimesoma Bachelor of Arts with Education na masomo ya kufundishia ni History na Geography.
Nimeamua kuja kwenu ili kwa yeyote mwenye uwezo wa kunipatia au kuniambia sehemu ninayoweza kupata nafasi ya kufundisha nitashukuru sana.
Iwe shule za English Medium au Sekondari nitafundisha.
Wapo watakaoniambia nizungukie shule mbalimbali ila nimeshafanya hivo ila bado sijapata nafasi hivo nimeonelea si vibaya kujaribu na huku pia.
Pia nikipata sehemu nikajitolea ili kupata uzoefu itakuwa vizuri pia.
Ninaishi Arusha.
Ahsanteni.