Natafuta kazi ya kufundisha

Ata ungekuwa umemaliza mwaka 2015 like zoezi halikuhusu,kijana wewe sio mwalimu wa mathematics coz hujasomea kufundisha hilo somo
Nmesoma postgraduate ya education masomo ya hesabu Na economics Na a advance nmesoma egm so Nina vigezo vyote Na postgraduate wanapangiwa
 
Tatiy
Nimefanya kazi ya kilimo mwaka 1 tu nimepiga mzingo wa hela wa maana

nyie dharauni kazi za kilimo ooh
ila kumbuka wapo ambao kilimo sio chaguo lao..

kazi uifanye kwa moyo
sio kama unalazimishwa vile
hata kama itakuwa sio ngumu itakushinda tu!

yeye kachagua ualimu

na kuja kuomba ushaur sio kwamba basi ndio imeshashindikana kabisa
 
Ww tayar ni msomi, mbeya Kuna fursa za ardhi yenye rutuba. Anza kilimo kwa mtaji mdogo, tumia taaluma yako kujiajiri
Kusema kwa mdomo rahisi sana, Kilimo sio kazi ya maneno, maneno, inahitaji capital hasa kwa aliye na malengo.
jamaa ameon njia ya kufikia lengo ni boelra afundishe then apate mtaji wa kuanzia ....unahisi level za maisha zinafanana?
 
Mm ni kijana Nina umri wa miaka 27 nmemaliza chuo kikuu Nina degree ya uchumi(bachelor of economics) pamajo Na Nina stashahada ya juu ya elimu (post graduate diploma education teaching subject ni mathematics,economics, pamoja Na commerce) naweza kufundisha masomo ya hesabu,economics, commerce. Nipo tayar kufanya kaz sehemu yoyote. Mm nipo mbeya
Mawasiliano yangu ni 0712171827
safi sana , umekuwa jasiri
wanaokubeza kwa kejeli, wasikukatishe tamaa!
Naamini utafanikiwa
 
Nmesoma postgraduate ya education masomo ya hesabu Na economics Na a advance nmesoma egm so Nina vigezo vyote Na postgraduate wanapangiwa
Wewe sio mwalimu na huna sifa ya kufundisha hesabu..nafasi zilizotoka ni kwa ajili ya ya watu waliosoma shahada na stashahada ya ualimu wa science na hisabati...wewe huna cheti cha shahada or stashahada ya ualimu..
 
Mm ni kijana Nina umri wa miaka 27 nmemaliza chuo kikuu Nina degree ya uchumi(bachelor of economics) pamajo Na Nina stashahada ya juu ya elimu (post graduate diploma education teaching subject ni mathematics,economics, pamoja Na commerce) naweza kufundisha masomo ya hesabu,economics, commerce. Nipo tayar kufanya kaz sehemu yoyote. Mm nipo mbeya
Mawasiliano yangu ni 0712171827

Jiunge na Register

Bofya Education and Teaching Jobs in Tanzania | ZoomTanzania
 
Wewe sio mwalimu na huna sifa ya kufundisha hesabu..nafasi zilizotoka ni kwa ajili ya ya watu waliosoma shahada na stashahada ya ualimu wa science na hisabati...wewe huna cheti cha shahada or stashahada ya ualimu..
Nina bro zangu wawil n walimu tena serikalin wamesoma postgraduate ya education km huamin futalia mkuu uliza utapata Malibu mm Nina ushahid wakutosha futalia utaambiwa tena tangia miaka ya nyuma.
 
Nina uhakika ninacho kisema futalia mkuu. Then baadae utapata majibu
 
Nina bro zangu wawil n walimu tena serikalin wamesoma postgraduate ya education km huamin futalia mkuu uliza utapata Malibu mm Nina ushahid wakutosha futalia utaambiwa tena tangia miaka ya nyuma.
Miaka ya nyuma utaratibu ulikuwa hivyo but now sahau kitu kama icho..nenda kwenye tangazo la juzi la moe alafu soma watu waliotakiwa watume vyeti kwa ajili ya uhakiki ilitakiwa wawe na sifa gani
 
Nifuatilie nini??kama hujasomea ualimu post za moja kwa moja kwenye ajira za serikali kuanzia Leo sahau kabisa na icho kitu futa kabisa kichwani kwako
Nadhan sasa ubishi wako utakuwa umeisha serikali imetoa muongozo. Na pgde tupo. Inshallah Mungu akijalia tutapata ajira. Km walimu. Usiwakatiahe watu tamaa ikiwa ww huana mamlaka yyte yale kwenye nchi hiii. Km n wivu wako nakupa pole mkuu
 
Miaka ya nyuma utaratibu ulikuwa hivyo but now sahau kitu kama icho..nenda kwenye tangazo la juzi la moe alafu soma watu waliotakiwa watume vyeti kwa ajili ya uhakiki ilitakiwa wawe na sifa gani
Mkuu kwenye hayo majina yaliyotolewa na moe kunawatu wa PGDE acha kupotosha
 
hz ajira sasa zitafanya watu wawe vichaa.. ngoja niende zangu jukwaa la jokes nikapunguze stress...!
 
Nadhan sasa ubishi wako utakuwa umeisha serikali imetoa muongozo. Na pgde tupo. Inshallah Mungu akijalia tutapata ajira. Km walimu. Usiwakatiahe watu tamaa ikiwa ww huana mamlaka yyte yale kwenye nchi hiii. Km n wivu wako nakupa pole mkuu
Baada ya maisha kuwachapa ndo mmeona mkimbilie kwenye ualimu??
 
Hahahah hauna jipya mkuu ushahid up unao utaka wakat nlikwambia Ukawa mbishi nenda kwenye tangazo la serikali utaona.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom