Natafuta kazi ya kufundisha

Haya mawazo yako ww Na ubnafsi wako wa kuwakatisha watu tamaa km unaweza Kuwa mwalimu ww kwenye shule zote
Wacha maneno kijana..kama unaupenda ualimu kwanini hukuenda kuusomea moja kwa moja...maisha yamekuchapa umetafuta pa kutokea hujapaona umeamua kurudi kwenye ualimu uliokuwa unauponda wakati unasoma hicho ki degree chako kingine
 
Hahahah usipanik bro ridhik km jua huwez kuzba. Kwa taarifa yako tu watu walio Na nia yakuwasadia watu wamesha tenda wema wao kwa hyo. Mm ntaamua mwenyewe. Watu wa binafsi km ww endeleen na roho zenu za Kibinafsi
 
Wacha maneno kijana..kama unaupenda ualimu kwanini hukuenda kuusomea moja kwa moja...maisha yamekuchapa umetafuta pa kutokea hujapaona umeamua kurudi kwenye ualimu uliokuwa unauponda wakati unasoma hicho ki degree chako kingine
Acha roho mbaya pimbi wewe muoneshe njia mwenzio.
 
Juma nne n kuripot hahahah ulitukatisha sana tamaa ww. Roho inakuuma lkn hauna jinsi
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom