Natafuta kazi ya kufundisha masomo ya Biashara

teaching methodology ndo nn? utakalia methodology zako tu, tena ambao hawajasoma hizo methodology ndo wakali balaa! mm mwenyewe graduate bachelor ya SUA, nafundisha fizikia shule flani, imekuwa ya tano kitaifa katika fizikia, adi baraza wananiandalia certificate, nimewatupa zaid ya walim 4000 wenye methodology! kaka we fight ata o-level u can, like me, utapata hela kuliko ata ungekuwa mhasibu, badaye chaneli zitajiset tu!

nice idea!
 
Hawa waalimu wenyewe wanaona kuwa na fani ya ualimu basi ndio sifa ya kumfanya mtu kuwa mwalimu, ndio maana wengi ambao hawakufanya vizuri ktk masomo yao ndio wanakimbili huko. Lakini wamesahau kua vyuoni tunafundishwa na watu ambao hawaja wahi kuwa waalimu kabisa na tunaelewa vizuri kabisa tena wakiwemo hao wanajifunza ualimu. Kama mtu anajua kufundisha anajua tu hakuna cha teaching methodology wala nini, hivyo mkuu kila la kheri.
 
asante sanaa!
 
Defn teaching methodology..and teacher utaelewa kama ualimu ni professional au la?
 
nenda pale magomeni mikumi kuna shule ya msingi ipo shule inatwa MESSAC wanatafuta mtu wa masomo hayo
Habari zenu ndugu zangu.

Mimi ni Graduate wa fani ya Accountancy na ni nguli sana katika masomo ya Book Keeping na Commerce.

Hivyo natafuta shule nitakayoweza fundisha masomo husika.

Nipo Dar es Salaam

Please please help.

Thanks in advance.
 
teaching methodology ndo nn? utakalia methodology zako tu, tena ambao hawajasoma hizo methodology ndo wakali balaa! mm mwenyewe graduate bachelor ya SUA, nafundisha fizikia shule flani, imekuwa ya tano kitaifa katika fizikia, adi baraza wananiandalia certificate, nimewatupa zaid ya walim 4000 wenye methodology! kaka we fight ata o-level u can, like me, utapata hela kuliko ata ungekuwa mhasibu, badaye chaneli zitajiset tu!

waambie ukweli mkuu,hao walimu wenye methodology wanaendaga na matokeo gan?hawajui ata kiingereza mda wote darasan wanafundisha kwa kiswahil,pili mbona walimu wa chuo kikuu hawasomei iyo methodology?nyambafu wewe!
 
Mimi naona cha msingi ni kufahamu nini unachofundisha hizo methodology tutaelekezana huko huko...then mimi nipo nondo mbaayaa aisee!
 
Habari zenu ndugu zangu.

Mimi ni Graduate wa fani ya Accountancy na ni nguli sana katika masomo ya Book Keeping na Commerce.

Hivyo natafuta shule nitakayoweza fundisha masomo husika.

Nipo Dar es Salaam

Please please help.

Thanks in advance.

BROO SIKUSHAULI KABISA UFANYE KAZI YA UALIMU KAMA HAUKUSOMEA UALIMU KWANI SIKU UKIKAMATWA NA WAKAGUZI TOKA WIZARA YA ELIMU KESI YAKE SOO YA KITOTO

ALAFU KWA UTAWALA HUU JIANDAE KUUMIA GEREZANI
 
Sawa boss.

Hii ilikuwa mwaka 2014 na sikupata kazi boss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom