Natafuta kazi ya kufundisha chemistry au bioloy private schools

siyabo clain

Member
Aug 11, 2012
15
1
Habari wanabodi mimi ni graduate kutoka UDSM (B.Sc with EDUCATION) katika masomo ya Chemistry na Biology tangu 2012.Ninatafuta kazi ya kufundisha katika shule za binafsi(private) inayolipa vizuri;nina uzoefu wa miaka 3 sasa.Ninaomba mnisaidie tafadhali.namba ya simu ni 0766856221.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom