Natafuta kazi ya kuanzia maisha ya mtaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya kuanzia maisha ya mtaa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by NG'WENEKELE, Jul 16, 2011.

 1. NG'WENEKELE

  NG'WENEKELE Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamaa zangu,mimi ni graduate.natafuta kazi ya kuanzia maisha mtaani yenye mshahara angalau wa sh.300,000/= kwa mwezi.anayeweza kunisaidia call 0712815071 au 0767815071 NIMESOMA LAW,UNIVERSITY OF DAR,UMRI MIAKA 26,NIPO DAR,NA NI MWANAMME.
   
 2. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesoma kozi gani?....chuo gani?...umri wako?...jinsia yako?...uko wapi?....
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,288
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  duh!
  ok kuna kazi iko wazi qualifications:
  Education Qualifications

  Candidates must have a minimum of an Advanced University degree (masters or
  equivalent) in law. A specialization in public international law would be an added
  advantage.

  Work Experience

  Candidates must have a minimum of fifteen (15) years relevant professional
  experience, at national or international level, in judicial or other relevant legal
  functions with regard to the above defined duties and responsibilitie

  .................ni pm .. kwasababu naona namba zake hazipatikani..mshahara ni mara nne ya huo ulioomba.
  sehemu ya kazi ni Arusha ,...fanya hima tuwasiliane nafasi ipo wazi na moja ,.
  all the best
   
 4. NG'WENEKELE

  NG'WENEKELE Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ok saint ivuga,nawezaje wasiliana nawe?please let me have your contact.
   
Loading...