Ikiwa ndugu yangu unayo adv ya Computer Engineering, kwa nini hujiajiri mwenyewe kwa kufungua website yako na kutangaza ujuzi wako, kufanya programming, web design n.k?
Pia unweza kutafuta kwenye mitandao mbalimbali. Lililo zuri zaidi ni kuwa unaweza kuifanyakazi kampuni mtu yeyote popote duniani alipo ukiwepo nyumbani TZ.
Keep up!