Natafuta kazi ya ICT

Davies_007

Member
Apr 22, 2010
59
0
Jamani Mambo Vipi? Natafuta Kazi ya ICT

Nina Adv Ya Computer science Pia Nina

MSCE ( Microsoft Certified Systems Engineer )
 
Ikiwa ndugu yangu unayo adv ya Computer Engineering, kwa nini hujiajiri mwenyewe kwa kufungua website yako na kutangaza ujuzi wako, kufanya programming, web design n.k?
Pia unweza kutafuta kwenye mitandao mbalimbali. Lililo zuri zaidi ni kuwa unaweza kuifanyakazi kampuni mtu yeyote popote duniani alipo ukiwepo nyumbani TZ.
Keep up!
 
Davies uko nondo.for the tym being jiajiri.kama uwezo unao.au kama mashaka uckate tamaa..keep finding u will get.tatizo now days computer experts tuko wengii.
if possible nenda katafute degree inayohusiana na pesa lyk business admin or banking and finance.
u will be great.since u will be multipurpose professional..
ALL THE BEST MAN
 
mmmh,mnakatisha tamaa ila naunga wazo la kujiajili ingawa capital pia inaweza kuwa tatizo
 
Jamani Mambo Vipi? Natafuta Kazi ya ICT

Nina Adv Ya Computer science Pia Nina

MSCE ( Microsoft Certified Systems Engineer )

Kama una Adv Diplma ya ICT na MCSE ukitumia official chennel huwezi kukosa kazi within six month to come. Usiwe selective . soma sana daily news na the guardian.

Ebu tueleza wakati unasoma ulifanya Project gani?
 
Naomba kufahamu wakuu,kwa mtu mwenye CCNA(Cisco Certified Network Associate) na
Bachelor Degree in Computer Science & Technology,ambaye ni fresh gradute,ana chance ghani ya kupata kazi hapo nyumbani bongo?

Thanks a lot kwa majibu,maoni au ushauri.
 
Ikiwa ndugu yangu unayo adv ya Computer Engineering, kwa nini hujiajiri mwenyewe kwa kufungua website yako na kutangaza ujuzi wako, kufanya programming, web design n.k?
Pia unweza kutafuta kwenye mitandao mbalimbali. Lililo zuri zaidi ni kuwa unaweza kuifanyakazi kampuni mtu yeyote popote duniani alipo ukiwepo nyumbani TZ.
Keep up!

mammamia ushauri wako umekaa poa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom