Fresh Graduate natafuta Intership kada ya Account

vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
1,285
820
Habari,

Husika kichwa cha habari hapo juu.

Mm ni Fresh Graduate natafuta nafasi ya intership kada ya Account ili niweze kugain experience. Nilifanya field TRA na NSSF na pia nina cheti cha VETA cha information computer technology (ICT). Nina ujuzi mkubwa wa computer pia.

Nawasilisha
 
Uko wapi kama uko Kahama kuna intern naweza kuongea na jamaa wakakuchukua .
 
Vodacom wametoa graduate training program kada yako ipo wahi kutuma kabla ya 21 November ila lazima uwe na upper second class. Utapitishwa mchujo wa online aptitude test Kisha unaenda kula mema ya nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom