Upatapo kazi waheshimu wake na mabinti wa maboss wako,maana usije naswa na mtego wa ngono,will lost.Mimi ni kijana nimemaliza form 4 mwaka jana natafuta kazi ka heading inavosema mkoa wowote kazi yoyote pia
NB: serious
Naam ni PM mkuu nipo nitafanya kwa unyeyekevuNa mie nahitaji kijana wa kaxi. Serious.
Mkuu weka mshahara na kazi atakazotakiwa kufanya.Na mie nahitaji kijana wa kaxi. Serious.
Njoo Rorya 0629065434Waheshimiwa bad nahtj kazi kwa yeyote mwenye uhitaj wa kijana wa kazi nipo mkoa wowote nipo mwanza
Wengine cyo waminifu, unachokisema ni kweli, wengi wao huishia kuolewaUmenikumbusha kijana aliyekuwa anatafuta kazi nikawasiliana nae alikuwa mkoani, nikamleta dar baada ya siku 2 akatoroka kumbe nia yake alikuwa anataka aje dar kuna ndugu zake! gharama zote nilizomgaramia zikawa zimepotea bure.
PapaaMimi ni kijana nimemaliza form 4 mwaka jana natafuta kazi ka heading inavosema mkoa wowote kazi yoyote pia
NB: serious
Wap papaa1?Naam
Papaa yuko bize na kazi sku izBadili jina linaweza kuwa kikwazo kwako kupata hiyo kazi jina hilo linaonesha kuwa wewe sio mchapa kazi maana ma papa sio watu wa mchezo
Kuna kazi?
Kuwa makini pia wewe mtafuta kazi.... Usiache kumuomba mungu ili akufanikishe
Mama una watoto wa kike?Na mie nahitaji kijana wa kaxi. Serious.



Unaweza kazi za shamba???Shukran
Habari wakuu mimi ni kijana nimemaliza form four natafuta kazi ya house boy nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote napatikana tanga kwa mawasiliano zaidi 0755525989Sawa