Natafuta kazi ya houseboy

Waheshimiwa bad nahtj kazi kwa yeyote mwenye uhitaj wa kijana wa kazi nipo mkoa wowote nipo mwanza
 
Umenikumbusha kijana aliyekuwa anatafuta kazi nikawasiliana nae alikuwa mkoani, nikamleta dar baada ya siku 2 akatoroka kumbe nia yake alikuwa anataka aje dar kuna ndugu zake! gharama zote nilizomgaramia zikawa zimepotea bure.
 
Mimi ni kijana nimemaliza form 4 mwaka jana natafuta kazi ka heading inavosema mkoa wowote kazi yoyote pia
NB: serious

Kama umeweza hadi kuandika humu JF ambapo ni Home of Great Thinkers sasa kwanini tu ' usijiongeze ' ufanye kitu kingine kwani tayari unaonekana una uwezo fulani wa ' Kiutendaji ' Hivi Great Thinker huwa anakuwa Shamba Boy au House Boy Mkuu? acha kutuchezea ' akili ' tafadhali.
 
Inawezekana kakosa njia nyingine ya kujikwamua na kama GT akaona mtaji ni nguvu zake. Huwezi jua anaplani gani baada ya miaka 5.

MUNGU amsaidie kama hitaji lake ni jema
 
Umenikumbusha kijana aliyekuwa anatafuta kazi nikawasiliana nae alikuwa mkoani, nikamleta dar baada ya siku 2 akatoroka kumbe nia yake alikuwa anataka aje dar kuna ndugu zake! gharama zote nilizomgaramia zikawa zimepotea bure.
Naomba tafadhr kama bado io nafasi bado ipo niko tayari
 
Kama umeweza hadi kuandika humu JF ambapo ni Home of Great Thinkers sasa kwanini tu ' usijiongeze ' ufanye kitu kingine kwani tayari unaonekana una uwezo fulani wa ' Kiutendaji ' Hivi Great Thinker huwa anakuwa Shamba Boy au House Boy Mkuu? acha kutuchezea ' akili ' tafadhali.
Cha msingi yeye apate kazi sio kuwa great thinker coz unaweza kuwa great thinker kazi huna
 
Naomba tafadhr kama bado io nafasi bado ipo niko tayari
Shughuli zangu ni za shamba na nafasi bado zipo ila sio kwa sasa, nawekeza kwenye machine ili kuondokana na chalenge za vijana nilizokumbana nazo. nitapost kwa jf when the time come.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom