Ray 4 real
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 801
- 764
Habari za asubuhi wanajamvi nimekuja kwenu naomba kusaidiwa natafuta kazi. mm jinsia yangu ni ke na Nina uzoefu katika hotel nimefanya kaz peacock hotel almost 2years as a receptionist baadae nilienda kampuni moja mjini nikawa secretary kwa muda wa mwaka mmoja na nusu ndipo nilipatwa na matatiZo so nikashindwa kuendelea na kaz
binafsi nimesomea hotel na Nina uwezo wa kutumia computer na najua program. Zote na Nina uweZo wa kuongea na kuandika kiingereza na kiswahil.
kwayeyote alieguswa naomba msaada wake ili niweZe kupata kaz maisha magumu...pm itahusika kwa yeyote mwenye nia asanteni