Natafuta kazi ya Clearing & Foward

kinjaanjaa

Member
Mar 28, 2014
36
6
Kijana wangu anatafuta kazi ya clearing & fowarding amehitimu ngazi ya cheti ana uzoefu wa kuvusha magari mpaka wa Tunduma anaweza asscudo ++ utowaji wa magari bandari mshahara maelewano.kazi mahali popote na kampuni yoyote yupo tayari natanguliza shukrani wana jamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom