Natafuta kazi ya cashier

Sara Mgonjs

Member
Feb 20, 2016
17
3
Elimu yangu ni kidato channe nina uzoefu na kazi hiyo miaka mitano,ninaongea English na swahil,ninauzoefu na computer,pls nahitaji msaada wenu
 
Elimu japo diploma muhimu haswa kipindi hiki wasomi hawana ajira. Pia madwali kuhusu sababu za kuacha huko ni muhimu. Hili ni eneo linalihitaji uaminifu
 
Nikweli elimu inahitajika lkn ukweli kiwango hicho ndipo nilipoishia,niliacha mwenyewe nikajielekeza kwenye biashara lkn huku pia naona mtaji unakatika hivyo nitafute nifanye tena nijipange upya
 
mi nina degree nimetafta nafas hyo imekosa, mpaka inabid nitafte za kibarua chochote, naomba msaada nimeweka uzi hapa ukafutwa sijui kwanini,
maana nimetangaza zawadi kwa atakaye nisaidia kupata ajira/kibarua cha siku ntampa robo ya ujira wangu kila siku, 0744409250
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom