Nawasalimu wanajamvi!,niliwahi kuweka bandiko humu nikitafuta kazi sikufanikiwa!.Naomba jamani munisaidie kazi nami niweze kusurvive dunia hii maana bila naona maisha hayaendi. Me ni( me)Nina ba project planning management&community development kiukwel sina uzoefu wowote lakin naamini kazi naweza ,najituma,muaminifu na mwenye heshima kwa wote.nipo tayar kufany kazi popote hata nje ya field yangu ili mradi nipate kidogo.Naomba msaada wenu.akhsante!