NATAFUTA KAZI WAKUU

NATAFUTA KAZI WAKUU

OnlyMarketer

Member
Joined
Mar 15, 2022
Posts
52
Reaction score
42
Wakuu Sitaki Kulialia Hapa Jukwaani Ila Nina Uhitaji Mkubwa Wa Kazi
  • Kitaalamu mimi nina degree ya Kwanza ya Mazingira
  • Jinsia ME na nina Miaka 25
  • Nimesoma Form Four na Form Six
  • Nimemaliza Mwaka jana rasmi

Sina Uzoefu Wowote Ule, Naombeni Kazi Yoyote wakuu Maana haya Maisha Hayaelezeki
Namba zangu 0766 031 409

Asanteni
 
Umesoma form four na form six lakini unadegree.
Kaa kwanza kitaa akili ikomae ujue kuandika vizuri, ndio tutaweza kukufikiria
 
Back
Top Bottom