Natafuta kazi wakuu

Joan lewis

JF-Expert Member
Jan 3, 2019
602
907
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimesomea shahada ya sanaa katika utamaduni na utalii.
Inahusisha pia Hotels, Tour companies, Museums

Pia nina Stashahada ya uzamili(Postgraduate diploma) katika Elimu toka UDSM.

Nina leseni na cheti cha udereva wa gari za kawaida. Ninafanya vyema upande wa Customer relation/ and care.

Ahsanteni. Niko Dar es Salaam kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom