Natafuta kazi Umeme wa Magari (auto electrical)

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
902
Reaction score
1,549
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza, mimi ni fundi wa umeme wa magari (auto electrical).

Natafuta kazi hapa Dar es Salaam. Elimu yangu ni Grade kutoka Chuo chaa Ufundi Ifunda na Veta Iringa, na nina uzoefu wa miaka miwili sasa katika kazi hii.

Mawasiliano yangu ni 0766880146. Napatikana Mabibo Dar es Salaam.
 
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom