Natafuta Kazi ughaibuni

Natafuta Kazi ughaibuni

timenopose

New Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Natafuta Kazi ya udereva wa magari makubwa (heavy truck) ugaibuni.

Ukiniuliza kazi ninayoipenda na kuifurahia, basi ni Kazi ya kuendesha lori, lakini kwangu ni kama kumpenda mtu asiye kupenda kutokana na sababu zakimaslahi hapa kwetu.

Tafadhali kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia asisite kunipigia 0658 041 976.
 
hehe em chekiana na LEmutuz,NO OFFENSE!

Pia kuna linki watu wameweka za kutafuta kazi nje jaribu kusearch ndugu.
 
Asante kwa ushauri, nafuatilia hizo link ndugu. Nimeliweka wazi hapa nikijua kwamba kwenye wengi Kuna mengi.
 
Ngoja nakutafutia namba za I.S na BOKO Haram
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom