K kitimlaz Member Sep 4, 2016 14 10 Jan 21, 2017 #1 Nahitaji kazi tanesco,elimu yangu kidato cha nne na nina taaluma ya umeme kutoka veta mwenye fursa yoyote anisaidie kupata kazi... asante
Nahitaji kazi tanesco,elimu yangu kidato cha nne na nina taaluma ya umeme kutoka veta mwenye fursa yoyote anisaidie kupata kazi... asante
mkuzi JF-Expert Member Mar 17, 2013 1,627 1,457 Jan 21, 2017 #4 apply mkuu usichoke wewe peleka tu maombi yako utafanikiwa
Ambiele Kiviele JF-Expert Member Dec 29, 2014 15,267 29,906 Jan 21, 2017 #5 Kwa sasa vibarua wamesimamishwa almalufu Kama STE Ushaur Andika Barua za Maombi ya Kazi Peleka Temeke pale ktk ofisi za Hr ila itabid usubili mpaka Wenzako Wakiitwa Au kama Kuwa na moyo wa ujasiri Andika barua tofaut zen peleka ktk ofisi yeyote iliyo Karibu na Wew STE tanesco anajulikana Kama Kibarua na hulipwa 465000 per month Hakuna over time kazi Ni mpka jpili
Kwa sasa vibarua wamesimamishwa almalufu Kama STE Ushaur Andika Barua za Maombi ya Kazi Peleka Temeke pale ktk ofisi za Hr ila itabid usubili mpaka Wenzako Wakiitwa Au kama Kuwa na moyo wa ujasiri Andika barua tofaut zen peleka ktk ofisi yeyote iliyo Karibu na Wew STE tanesco anajulikana Kama Kibarua na hulipwa 465000 per month Hakuna over time kazi Ni mpka jpili
Benjamin10 JF-Expert Member Dec 31, 2016 408 595 Jan 21, 2017 #7 Duuuh kweli, lakn hyo barua unaiandika mama muombaji wa kazi ya kibarua au kazi kama ajira?