Natafuta Kazi Sekta ya Kilimo

Natafuta Kazi Sekta ya Kilimo

Joined
Dec 1, 2012
Posts
53
Reaction score
2
Wasalam ndugu zangu! Natafuta kazi za kilimo na ufugaji kama kusimamia mashamba, kutibu mifugo na kazi nyingine zote zinazohusiana na sekta ya kilimo ma ufugaji.
Kwa yeyote mwenye msaada tujulishane humu humu!
 
Back
Top Bottom