Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, nimesoma ITS, umri miaka 23, napenda sana programming, naielewa vizuri Python language (Django Framework), PHP piah, najua vizuri kudesign database n.k
Naomba msaada kama kuna mtu aweza nishika mkono nikawa sehemu ya project yake, au kama naweza pata mahali nikafanya internship, pia kama naweza pata nafasi ya kufundisha vyuo vya kati, nitashukuru sana, na nipo tayari [emoji120][emoji120]