Natafuta kazi ya Photo or Video Graphy & Editing

Mkuu hii kitu umesomea wapi?
Hauna haja ya kujiajiri hapo

Unaweza kuwa hata milionea kabisa kwa hii .Taaluma naomba unielekeze uliposomea na mimi nikasome hii natapenda nifahamu ila sehemu ya kutobolea ndio sina mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom